Ndege zina umuhimu mkubwa sana katika Sekta ya Usafiri, utalii na uchumi na taifa kwa ujumla

Sawa ni kweli but kwa Tanzania sio priority ndio hoja za watu

Ndio Ile alisemaga Mramba kuwa watu hata wale majani ndege ya Rais lazima ipatikane

Wale kwao kipaumbele kilikuwa ni ndege na sio wanainchi
Mkuu acha uoga wa maisha usitegemee serikali tafuta pesa wewe
 
The way umeandika ni kama jambo maalum Sana kwenda kuchukuliwa na ndege ya atcl wakati kumbe Walitoa pesa so ni sawa tu na Serikali ingeamua kuwadhamini kwa kuwakodia ndege
Yeah ni jambo maalum sana mkuu
 
Sawa ni kweli but kwa Tanzania sio priority ndio hoja za watu

Ndio Ile alisemaga Mramba kuwa watu hata wale majani ndege ya Rais lazima ipatikane

Wale kwao kipaumbele kilikuwa ni ndege na sio wanainchi
Mkuu kimkakati kwa maana ya faida za kiuchumi ndege ni muhimu sana.

Ulimwengu wa sasa biashara zinazokaa miezi miwili melini bila ya kuharibika ni chache sana.

Ulimwengu wa sasa una bidhaa nyingi za gharama kubwa na zihatajika ndani ya muda fulani ziwe zimemfikia Mteja.

Kipindi hiki cha corona malimao ya soko sana Marekani, huwezi kuyasafirisha kwa meli ili yawahi matumizi ya Mteja.

Kuna maparachichi yenye soko China, huwezi kuyasafirisha na meli.

Ndege ni muhimu mno huko tuendapo.
 

Ndege zetu zilifanya hayo uliyosema?
 
Unamtukana magu hajawahi safiri duniani kwa hiyo Ni mshamba

Kama ndenge Ni muhimu kulikuwa na Haja gani ya kuhunumu mashirika binafsi yalyokuwepo yakitoa huduma Bora kwa Bei nzuri ya ushindani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…