Ndege zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa za upekee

Ndege zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa za upekee

Mheshimiwa rais wananchi hatupoi kabisa....kaunta book langu Q3 limejaa sera za rais.

Braza Shimba ya Buyenze una afu tatu hapo uniazime ninunue kaunta lingine?
Sera ni nyingi na bado nyingine nyingi ziko njiani
Nyingine ntatimiza na nyingine ntatengeneza msingi kwa ajili vizazi vijavyo waje wamalizie

Mfano idea ya dubai siye huyu aliyeanzisha bali ni baba yake
 
Nikiwa Rais wa Tanzania ndege zitatengenezwa hapa nchini

Zifuatazo ni sifa za ndege zitakazotengenezewa Tanzania;-
  1. Zitakuwa zinatumia motor kama engine
  2. Motor hizi ni za kipekee sana zinltakuwa na utofauti na motor zinazotumiwa na magari au rockets
  3. Battery zitakuwa na uwezo wa kurecharge huku ndege ikiwa hewani
  4. Battery zitakuwa na layer ya aluminium ili kuzui zisilipuke pindi ipatapo ajali au hitilafu yeyote ileView attachment 3368008
we nyoosha maelezo unataka mshahara wa uraisi mambo yasiwe mengi 🤣
 
Sera ni nyingi na bado nyingine nyingi ziko njiani
Nyingine ntatimiza na nyingine ntatengeneza msingi kwa ajili vizazi vijavyo waje wamalizie

Mfano idea ya dubai siye huyu aliyeanzisha bali ni baba yake
Una maono makubwa sana unasha kutuvusha.
 
Back
Top Bottom