Ndegele ngoma mpya ya Rich Mavoko ni sumu moja hatari sana

Ndegele ngoma mpya ya Rich Mavoko ni sumu moja hatari sana

Diamond na Lavalava watasubiri sana mwaka huu.
 
hakuna wimbo hapo akalime mpunga tu kwao morogoro muziki ushamshinda
 


Mtoto wa mama richad kaachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ngedele hii ngoma ni sumu moja mbay sana

Ninachojiuliza kwanin mavoko hapo awali hakuwahi kutoa ngoma kali kama hii why soo

London boy

Sent using Jamii Forums mobile app

Amekuwa mzee kweli mziki mgumu sana yaani wiki 2 tu mtu kazeeka na wimbo wenyewe kama alirekodi akiwa anakunya
 
Back
Top Bottom