shangwe1
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 448
- 362
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa nadhani kutajwa wasafi ndo kumemchengua.. otherwise ya kawaida sana.... Wengine kwao uzuri wa wimbo ni kudisiwa MONDI
Acha uhater kujipoteza ndo niniAaache ujinga wa bifu za kipumbavu...
Kwahiyo yeye ndo mchafu..
Kashajipoteza huyu.
Wewe hujui ngoma kaliHuyu jamaa nadhani kutajwa wasafi ndo kumemchengua.. otherwise ya kawaida sana.... Wengine kwao uzuri wa wimbo ni kudisiwa MONDI
Inawezekana... maana inategemea unatumia vigezo gani kuamua kwamba hii ni ngoma kali na mimi natumia vigezo gani... KUNA WANAOPENDA NGOMA ZA AINA FULANI, HIVYO KWAO, NGOMA YOYOTE YA AINA NYINGINE NI MBAYA...
Nimepitia comments almost zote... UNAONEKANA KAMA PEKE YAKO HIVI UNAONA NGOMA HIYO NI KALI....
Kwani wewe ngoma kali unaitambuaje mkuuInawezekana... maana inategemea unatumia vigezo gani kuamua kwamba hii ni ngoma kali na mimi natumia vigezo gani... KUNA WANAOPENDA NGOMA ZA AINA FULANI, HIVYO KWAO, NGOMA YOYOTE YA AINA NYINGINE NI MBAYA...