Ndejembi Kumtembelea Mama yake Humphrey Polepole Jumapili Hii

Endapo itakuwa amefanya kwa utashi wake basi hapo ndio mwanzo wa mwisho wa hiyo nafasi yake.

Ikiwa ni Calculated Political Move, basi wamebugi vibaya maana wataenda kuamsha vilivyolala.
 
Baada ya kutumia nguvu, kutesa watu, kuteka na kuua sasa mission maalumu ni kutafuta maridhiano ya kinafiki..

Huyo Ndejembi ni maelekezo, hana uwezo kujiamulia kwenda kwa familia ya Polepole...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…