NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Kama kwa utashi wake watamtimua ndani ya wiki tatu.Ndejembi hiyo ziara umetumwa au umeipanga kwa utashi wako? Kama hutakwenda na Humphrey Polepole ni bora usiende kabisa.
Hatuhitaji drama katika hili.
Ngoja tuoneKama kwa utashi wake watamtimua ndani ya wiki tatu.
Hizo ni drama kama za Katambi.
Nimesikia kutokwa na machozi,Ndejembi hiyo ziara umetumwa au umeipanga kwa utashi wako? Kama hutakwenda na Humphrey Polepole ni bora usiende kabisa.
Hatuhitaji drama katika hili.
Hawa wasanii wanatembea na scriptsEndapo itakuwa amefanya kwa utashi wake basi hapo ndio mwanzo wa mwisho wa hiyo nafasi yake.
Ikiwa ni Calculated Political Move, basi wamebugi vibaya maana wataenda kuamsha vilivyolala.
Wasituletee UPUMBAVU wao ,wamemuua POLEPOLE halafu wanaenda kumyamazisha mama yake kwa VIPANDE THALATHA VYA PESA ili waache kumuulizia.Ndejembi hiyo ziara umetumwa au umeipanga kwa utashi wako? Kama hutakwenda na Humphrey Polepole ni bora usiende kabisa.
Hatuhitaji drama katika hili.
Waache wajifanye wajuajiNimesikia kutokwa na machozi,
hivi Serikali inatuonaje wananchi?
Yaani mhusike kumpoteza then mupeleke makomwe yenu kwa Mama yake, what for?