Ajibu mbona una wivu sana ulitaka Hans Pope awe nani pale simba?Mpira wa bongo bhana. Mwenyekiti wa usajili anakuwa mshangiliaji
Kwahiyo ulitaka awe mzomeaji?Mpira wa bongo bhana. Mwenyekiti wa usajili anakuwa mshangiliaji
Acha wivu wewe diet kwa sasa jangwani shida sanaMpira wa bongo bhana. Mwenyekiti wa usajili anakuwa mshangiliaji
Kuwa chair wa usajiri is very technical post to show ua interest to some players. Professionally he shouldn't promote few and leave many with qns. By the way mm sio ajibu na pia mshabiki Damu wa SSCAjibu mbona una wivu sana ulitaka Hans Pope awe nani pale simba?
Perez boss Madrid na yeye shabiki ila kwakua Hans Pope unamjua basi nongwa
Mavugo analamba 4.5??? Duh!!Huyu dogo 2.9m wanayomlipa wanampunja sana,eti Mavugo analipwa 4.5m not fair kabisa
Kaogelee bwawani kwenu Huko jangwani, Mambo ya Simba hayakuhusu pambana na njaa yako hapo jangwaniMpira wa bongo bhana. Mwenyekiti wa usajili anakuwa mshangiliaji
Sio yeye tu kina tshabalala wote wamewahi kupata hamasa kupitia zawadi ya gari hakuna kitu kigeni kwa sisi Wana msimbaziKuwa chair wa usajiri is very technical post to show ua interest to some players. Professionally he shouldn't promote few and leave many with qns. By the way mm sio ajibu na pia mshabiki Damu wa SSC
Yanga ndio maana mmelaaniwa.Mpira wa bongo bhana. Mwenyekiti wa usajili anakuwa mshangiliaji
Sasa Mtu asiependa mpira anaweza kuwekwa kwenye Kamati ya usajili, Mbona mna weweseka sana safari hii.Mpira wa bongo bhana. Mwenyekiti wa usajili anakuwa mshangiliaji
Mpira wa bongo bhana. Mwenyekiti wa usajili anakuwa mshangiliaji
Ila wewe unataka kujifanya Unajua huku ukiwa hujuwi, Hivi hizi timu za Simba na Yanga ni kweli hujui mpaka hivi sasa zinaendeshwa kwa fedha za mifukoni mwa watu. Kuanzia usajili mpaka kucheza, hao wanajitolea fedha zao huenda sambamba na ushabiki wao, Usifananishe timu za Uingeraza ambazo zinaendeshwa kibiashara, na wawekezaji weke hutoka hata nje ya nje ya Nchi.Kuwa chair wa usajiri is very technical post to show ua interest to some players. Professionally he shouldn't promote few and leave many with qns. By the way mm sio ajibu na pia mshabiki Damu wa SSC
Hii ni gari au usafiri?BAADA YA KUITENDA SINGIDA VIBAYA, HANS POPPE AMPA GARI SAID NDEMLA
Mwenyekiti wa Kamtai ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametoa zawadi ya gari kwa mchezaji wa Simba, Said Hamis Ndemla.
Hans Poppe ametangza kumpa Ndemla gari baada ya kuonyesha kiwango kizuri cha kuvutia katika mechi dhidi ya Singida United, leo.