Ndemla azawadiwa gari baada ya kuonyesha kiwango cha hali ya juu dhidi ya Singida utd

Ndemla azawadiwa gari baada ya kuonyesha kiwango cha hali ya juu dhidi ya Singida utd

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
BAADA YA KUITENDA SINGIDA VIBAYA, HANS POPPE AMPA GARI SAID NDEMLA

Mwenyekiti wa Kamtai ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametoa zawadi ya gari kwa mchezaji wa Simba, Said Hamis Ndemla.

Hans Poppe ametangza kumpa Ndemla gari baada ya kuonyesha kiwango kizuri cha kuvutia katika mechi dhidi ya Singida United, leo.

a2743e458c550c771a5265d5635ff254.jpg
 
Ajibu mbona una wivu sana ulitaka Hans Pope awe nani pale simba?
Perez boss Madrid na yeye shabiki ila kwakua Hans Pope unamjua basi nongwa
Kuwa chair wa usajiri is very technical post to show ua interest to some players. Professionally he shouldn't promote few and leave many with qns. By the way mm sio ajibu na pia mshabiki Damu wa SSC
 
Kuwa chair wa usajiri is very technical post to show ua interest to some players. Professionally he shouldn't promote few and leave many with qns. By the way mm sio ajibu na pia mshabiki Damu wa SSC
Sio yeye tu kina tshabalala wote wamewahi kupata hamasa kupitia zawadi ya gari hakuna kitu kigeni kwa sisi Wana msimbazi
Ndio maana nmekwambia acha wivu
Unajifanya mtaalam kumbe huna ujualo
 
Mpira wa bongo bhana. Mwenyekiti wa usajili anakuwa mshangiliaji
Sasa Mtu asiependa mpira anaweza kuwekwa kwenye Kamati ya usajili, Mbona mna weweseka sana safari hii.
 
Mpira wa bongo bhana. Mwenyekiti wa usajili anakuwa mshangiliaji

Mijitu mingine bhana! Kwahiyo Perez wa Real Madrid Yeye licha ya kuwa mfanya Usajili maarufu kabisa duniani wa hiyo Klabu yake huwa haangalii mechi za Real Madrid? Logically tu kuna uhusiano gani wa Kapteni wa zamani wa JWTZ Zackaria Hanspoppe licha ya kuwa ndiyo Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba na Yeye kutotakiwa ama kuangalia au kuishangilia Timu yake hiyo?

Hivi Sisi Waafrika nani ' alituroga ' hadi tunakuwa hatujui ' Kufikiri ' hivi?
 
Kuwa chair wa usajiri is very technical post to show ua interest to some players. Professionally he shouldn't promote few and leave many with qns. By the way mm sio ajibu na pia mshabiki Damu wa SSC
Ila wewe unataka kujifanya Unajua huku ukiwa hujuwi, Hivi hizi timu za Simba na Yanga ni kweli hujui mpaka hivi sasa zinaendeshwa kwa fedha za mifukoni mwa watu. Kuanzia usajili mpaka kucheza, hao wanajitolea fedha zao huenda sambamba na ushabiki wao, Usifananishe timu za Uingeraza ambazo zinaendeshwa kibiashara, na wawekezaji weke hutoka hata nje ya nje ya Nchi.
 
BAADA YA KUITENDA SINGIDA VIBAYA, HANS POPPE AMPA GARI SAID NDEMLA

Mwenyekiti wa Kamtai ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe ametoa zawadi ya gari kwa mchezaji wa Simba, Said Hamis Ndemla.

Hans Poppe ametangza kumpa Ndemla gari baada ya kuonyesha kiwango kizuri cha kuvutia katika mechi dhidi ya Singida United, leo.

a2743e458c550c771a5265d5635ff254.jpg
Hii ni gari au usafiri?

Acha kufananisha magari na vitu vya kijinga!
 
Back
Top Bottom