Sir John Senior Member Joined Aug 19, 2010 Posts 177 Reaction score 1 Nov 1, 2010 #1 Jamani mwenye habari na hawa watu atujuze pls! Sijapata info yeyote juu ya hawa wakuu mambo yako shwari huko majimboni kwao?
Jamani mwenye habari na hawa watu atujuze pls! Sijapata info yeyote juu ya hawa wakuu mambo yako shwari huko majimboni kwao?
rmashauri JF-Expert Member Joined Jan 29, 2009 Posts 3,011 Reaction score 456 Nov 1, 2010 #2 Sir John said: Jamani mwenye habari na hawa watu atujuze pls! Sijapata info yeyote juu ya hawa wakuu mambo yako shwari huko majimboni kwao? Click to expand... Subiri tume ya uchaguzi watangaze vinginevyo utalishwa "Kasa" tu hapa
Sir John said: Jamani mwenye habari na hawa watu atujuze pls! Sijapata info yeyote juu ya hawa wakuu mambo yako shwari huko majimboni kwao? Click to expand... Subiri tume ya uchaguzi watangaze vinginevyo utalishwa "Kasa" tu hapa
kvelia JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 246 Reaction score 44 Nov 1, 2010 #3 Ndesamburo,mbowe tayari wameshachukua, habari kamili leo jioni. ccm wamepata kata tatu tu kati 20 moshi mjini.
Ndesamburo,mbowe tayari wameshachukua, habari kamili leo jioni. ccm wamepata kata tatu tu kati 20 moshi mjini.
Sir John Senior Member Joined Aug 19, 2010 Posts 177 Reaction score 1 Nov 1, 2010 Thread starter #4 kvelia said: Ndesamburo,mbowe tayari wameshachukua, habari kamili leo jioni. ccm wamepata kata tatu tu kati 20 moshi mjini. Click to expand... mkuu thanks kwa taarifa nzuri! well done all....changes 4ever
kvelia said: Ndesamburo,mbowe tayari wameshachukua, habari kamili leo jioni. ccm wamepata kata tatu tu kati 20 moshi mjini. Click to expand... mkuu thanks kwa taarifa nzuri! well done all....changes 4ever