Elections 2010 Ndesamburo, Mbowe, Shibuda, Mpendazoe, Zitto vipi?

Sir John

Senior Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
177
Reaction score
1
Jamani mwenye habari na hawa watu atujuze pls!
Sijapata info yeyote juu ya hawa wakuu mambo yako shwari huko majimboni kwao?
 
Subiri tume ya uchaguzi watangaze vinginevyo utalishwa "Kasa" tu hapa
 
Ndesamburo,mbowe tayari wameshachukua, habari kamili leo jioni. ccm wamepata kata tatu tu kati 20 moshi mjini.
 
mkuu thanks kwa taarifa nzuri!
well done all....changes 4ever
 
Back
Top Bottom