Ndevu za kubandika

Ndevu za kubandika

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Kuna mdau yoyote anayejua wapi hapa Dar naweza kununua ndevu za kubandika,
Hii kitu India ni common sana, inauzwa sana. Sasa kwa hapa Bongo sijui naweza kupata
wapi?
 
Kuna mdau yoyote anayejua wapi hapa Dar naweza kununua ndevu za kubandika,
Hii kitu India ni common sana, inauzwa sana. Sasa kwa hapa Bongo sijui naweza kupata
wapi?

Boflo huna ndevu za kutosha?.....au unataka ufanane na beberu
 
Unataka kumwibia nani Boflo?????????????????? Nikupe triki wala haina haja ya kubandika mindevu
 
boflo unanitisha? huna ndevu hahaha wakati wenzio tunazikimbia
 
Jamani..heheheeee..kunani weye besti?...Nia na malengo yako nini?...Umekataliwa kuoa binti wa mtu hadi uwe na ndevu kama beberu?..Sema tukupe altenative!
 
mbona kimya jemeni? ni kweli hakuna anayejua nitapata wapi????
 
Kuna mdau yoyote anayejua wapi hapa Dar naweza kununua ndevu za kubandika,
Hii kitu India ni common sana, inauzwa sana. Sasa kwa hapa Bongo sijui naweza kupata
wapi?
wasiliana na jamaa wa vingunguti machinjioni wanaweza kukusaidia
 
Boflo haishi visa, leo ameanza na mdevu, next time atakuja kuuliza atapata wapi ma**zi ya kubandika
 
Back
Top Bottom