Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hello guys!!
Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote?
Asili ya nyumbani wote wana ndevu.
Mtu nakaribia 30 lakini bado naonekana mtoto sana.
Bt si kwamba nakimbilia ukubwa. Ila muonekano na umri viendane.
Umeandika ujingaWewe!! narudia tena wee!!! shikashika chini kwako hapo, uone km oombo!! bado ipo! Make inawezekana kadiri unavokuwa maumbile ya kiume yanapotelea!! na ile jinsia pendwa inajitokeza kwa sana, dushelele! linabadirikaga inakuwa misiki! chunguza uone!
ndo ilivo kwa sisi viumbe wote hata hayawani, km Oestrogen level imetokea iko juu! lazima nyapu ijitokezee Kwa sana! km ni kwa ke Androgens hormones, zikiwa nyingi, ndo utasikia ''jike dume'' limdada linakomaa km semenya!
kwanza nikuulize unajisikiaje unaposikia sauti ya kikoromo? ikiwa karibu yako?, au ukiona picha yangu hapo na hilo likifua la mazoezi hujisikii kukojoa kojoa kwani? km bado huna.....
hujajua tu , itafika mahali ghafla wewe utatupenda kindakindaki sisi wenye Ndevu za juu! hutalala bila kumpa hi! Tata nyarusare, kama mie muongo subiri uone,
angalia sasa inaoanekana hata aibu zimekuishia unaongea na vidume tu humu!! wamesha jua kuwa una kipara kidevuni me tunapendaga kukitafuna kile, hizi ni sifa za wanawake! kwa me ni aibu kubwa ,
ukiona umekosa hata aibu ya kutamka sifa za kike tena hadharani km humu! tayari tunajua kuna mtu unamtaka akichezee hicho kidevu! km mie muongo subirini tu! soon Mtasikia!
nyau weeUmeandika ujinga
Ha ha haUmeandika ujinga
Duuuh....., nafikiri japo uzi mfupi ila hujauelewa.Wewe!! narudia tena wee!!! shikashika chini kwako hapo, uone km oombo!! bado ipo! Make inawezekana kadiri unavokuwa maumbile ya kiume yanapotelea!! na ile jinsia pendwa inajitokeza kwa sana, dushelele! linabadirikaga inakuwa misiki! chunguza uone!
ndo ilivo kwa sisi viumbe wote hata hayawani, km Oestrogen level imetokea iko juu! lazima nyapu ijitokezee Kwa sana! km ni kwa ke Androgens hormones, zikiwa nyingi, ndo utasikia ''jike dume'' limdada linakomaa km semenya!
kwanza nikuulize unajisikiaje unaposikia sauti ya kikoromo? ikiwa karibu yako?, au ukiona picha yangu hapo na hilo likifua la mazoezi hujisikii kukojoa kojoa kwani? km bado huna.....
hujajua tu , itafika mahali ghafla wewe utatupenda kindakindaki sisi wenye Ndevu za juu! hutalala bila kumpa hi! Tata nyarusare, kama mie muongo subiri uone,
angalia sasa inaoanekana hata aibu zimekuishia unaongea na vidume tu humu!! wamesha jua kuwa una kipara kidevuni me tunapendaga kukitafuna kile, hizi ni sifa za wanawake! kwa me ni aibu kubwa ,
ukiona umekosa hata aibu ya kutamka sifa za kike tena hadharani km humu! tayari tunajua kuna mtu unamtaka akichezee hicho kidevu! km mie muongo subirini tu! soon Mtasikia!
sijaelewa nini bana una kipara, kidevuni bana....Duuuh....., nafikiri japo uzi mfupi ila hujauelewa.
Yaani mvi zimenikwazaaaa hadi nimeamua tu kuziacha zitoke tu.Halafu zina sifa kweli hasa zikianza kuota mvi
Umeandika utumbo mkuu.Wewe!! narudia tena wee!!! shikashika chini kwako hapo, uone km oombo!! bado ipo! Make inawezekana kadiri unavokuwa maumbile ya kiume yanapotelea!! na ile jinsia pendwa inajitokeza kwa sana, dushelele! linabadirikaga inakuwa misiki! chunguza uone!
ndo ilivo kwa sisi viumbe wote hata hayawani, km Oestrogen level imetokea iko juu! lazima nyapu ijitokezee Kwa sana! km ni kwa ke Androgens hormones, zikiwa nyingi, ndo utasikia ''jike dume'' limdada linakomaa km semenya!
kwanza nikuulize unajisikiaje unaposikia sauti ya kikoromo? ikiwa karibu yako?, au ukiona picha yangu hapo na hilo likifua la mazoezi hujisikii kukojoa kojoa kwani? km bado huna.....
hujajua tu , itafika mahali ghafla wewe utatupenda kindakindaki sisi wenye Ndevu za juu! hutalala bila kumpa hi! Tata nyarusare, kama mie muongo subiri uone,
angalia sasa inaoanekana hata aibu zimekuishia unaongea na vidume tu humu!! wamesha jua kuwa una kipara kidevuni me tunapendaga kukitafuna kile, hizi ni sifa za wanawake! kwa me ni aibu kubwa ,
ukiona umekosa hata aibu ya kutamka sifa za kike tena hadharani km humu! tayari tunajua kuna mtu unamtaka akichezee hicho kidevu! km mie muongo subirini tu! soon Mtasikia!
Ule usemi wa 'fainali uzeeni' ujue unatisha sanaYaani mvi zimenikwazaaaa hadi nimeamua tu kuziacha zitoke tu.
Ila idea ya kuzeeka naiogopa sana aisee basi tu .
Wewe!! narudia tena wee!!! shikashika chini kwako hapo, uone km oombo!! bado ipo! Make inawezekana kadiri unavokuwa maumbile ya kiume yanapotelea!! na ile jinsia pendwa inajitokeza kwa sana, dushelele! linabadirikaga inakuwa misiki! chunguza uone!
ndo ilivo kwa sisi viumbe wote hata hayawani, km Oestrogen level imetokea iko juu! lazima nyapu ijitokezee Kwa sana! km ni kwa ke Androgens hormones, zikiwa nyingi, ndo utasikia ''jike dume'' limdada linakomaa km semenya!
kwanza nikuulize unajisikiaje unaposikia sauti ya kikoromo? ikiwa karibu yako?, au ukiona picha yangu hapo na hilo likifua la mazoezi hujisikii kukojoa kojoa kwani? km bado huna.....
hujajua tu , itafika mahali ghafla wewe utatupenda kindakindaki sisi wenye Ndevu za juu! hutalala bila kumpa hi! Tata nyarusare, kama mie muongo subiri uone,
angalia sasa inaoanekana hata aibu zimekuishia unaongea na vidume tu humu!! wamesha jua kuwa una kipara kidevuni me tunapendaga kukitafuna kile, hizi ni sifa za wanawake! kwa me ni aibu kubwa ,
ukiona umekosa hata aibu ya kutamka sifa za kike tena hadharani km humu! tayari tunajua kuna mtu unamtaka akichezee hicho kidevu! km mie muongo subirini tu! soon Mtasikia!
Kula ushibe mkuu!!Umeandika utumbo mkuu.
Sawa mkuu.Kula ushibe mkuu!!
Nimecheka sana.. vumilia na utazichukia mimi nimeota mwiahoni mwa miaka30 na sasahv hata sizitamaniHello guys!!