babyfancy
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 2,176
- 6,187
[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]ye nae kazidi tangu lini ndevu zikalazimishwa kuota?,[emoji23][emoji23]Una ujinga flani hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]ye nae kazidi tangu lini ndevu zikalazimishwa kuota?,[emoji23][emoji23]Una ujinga flani hivi
Mwake mwake! Tunasema Ndevu siyo mzigo mzee!Inaitwa Ndevu Nyomi/Ndevu Mtiti
Huyu kenge ndio mpumbavuWewe!! narudia tena wee!!! shikashika chini kwako hapo, uone km oombo!! bado ipo! Make inawezekana kadiri unavokuwa maumbile ya kiume yanapotelea!! na ile jinsia pendwa inajitokeza kwa sana, dushelele! linabadirikaga inakuwa misiki! chunguza uone!
ndo ilivo kwa sisi viumbe wote hata hayawani, km Oestrogen level imetokea iko juu! lazima nyapu ijitokezee Kwa sana! km ni kwa ke Androgens hormones, zikiwa nyingi, ndo utasikia ''jike dume'' limdada linakomaa km semenya!
kwanza nikuulize unajisikiaje unaposikia sauti ya kikoromo? ikiwa karibu yako?, au ukiona picha yangu hapo na hilo likifua la mazoezi hujisikii kukojoa kojoa kwani? km bado huna.....
hujajua tu , itafika mahali ghafla wewe utatupenda kindakindaki sisi wenye Ndevu za juu! hutalala bila kumpa hi! Tata nyarusare, kama mie muongo subiri uone,
angalia sasa inaoanekana hata aibu zimekuishia unaongea na vidume tu humu!! wamesha jua kuwa una kipara kidevuni me tunapendaga kukitafuna kile, hizi ni sifa za wanawake! kwa me ni aibu kubwa ,
ukiona umekosa hata aibu ya kutamka sifa za kike tena hadharani km humu! tayari tunajua kuna mtu unamtaka akichezee hicho kidevu! km mie muongo subirini tu! soon Mtasikia!
Mkuu!! mule mule! kijisauti ukitukana tukana hivi?? ndo kabisaaa!! tunawashwaga! weee subiri!! kimke changu cha Iringa ndo kinafanyaga hivi hasa kikiwa na Mimba! kiliwahi nifungua nje! nikalala kabisaa mlangoni!!Huyu kenge ndio mpumbavu
Yaani kabisa na wewe una mke?. Hii dunia inakwenda kasi sanaMkuu!! mule mule! kijisauti ukitukana tukana hivi?? ndo kabisaaa!! tunawashwaga! weee subiri!! kimke changu cha Iringa ndo kinafanyaga hivi hasa kikiwa na Mimba! kiliwahi nifungua nje! nikalala kabisaa mlangoni!!
kana visa hako?? nilitamani kukawasha makofi!! weee!! Babu kanambia huyo ni mkeo!!!!..... ana mimba changa!! alaaah! kuuumbe! sasa leo unanikumbusha haya! aksante naniliu......
Mkuu Baba sina mke mie !! akuu!! nikapeleke wapi kajimwanamke mie kwanza! kwanza siyo asili yetu watu wa huku milimani, yaani uko sahihi kabisaaa!! hata ukiniletea taarifa za kifo kuhusu wake zangu ujipange hasa !!! umtaje na jina kabisa la ukoo wake make wenye jina km lako yaani Sweety wako 4,Yaani kabisa na wewe una mke?. Hii dunia inakwenda kasi sana
Hapo chengaMkuu Baba sina mke mie !! akuu!! nikapeleke wapi kajimwanamke mie kwanza! kwanza siyo asili yetu watu wa huku milimani, yaani uko sahihi kabisaaa!! hata ukiniletea taarifa za kifo kuhusu wake zangu ujipange hasa !!! umtaje na jina kabisa la ukoo wake make wenye jina km lako yaani Sweety wako 4,
sasa sikia ,,,,,mie nina wake!! siyo mke Baba ndo tulivo sisi huku kwetu! kila siku 2 nazungukia! kwa boma yangu! siku naenda mjini DSM wananisindikiza km Rais! vimada ndo kabisaa usiseme!!! yaani nioe kamke kamoja naficha kirema au nini?
mie kidume bana wacha kabisa... afu najijua! nazungusha sambaza mbegu bora! weye mkuu unakamoja tuuu! ka mawazo ! ka mawazo ukiambiwa ahaaa mkeo kafa unazimia hapo hapo!....angalia sasa
mie nikiambiwa!! tu. Rusare mkeo kafa . nitauliza mke wa nyumba ipi kafa??? ......Nyumba kati....ohooo!! basi tangulieni nakuja! basi...ivo sasa mie kabisa jina kubwa la ukoo Rusare ruya Nyamutibita!!! unaleta habari za ka mke kamoja?? wewe mtoto weeee!!!
sidhani kma una raha hapa Duniani!
Kweri kabisa muraaa!!! wee ulizia tu!! yare majamaa viipi? utaambiwa tu! ni kawaida yao!! yaani kwani wee hujasikia nyumba ntobhu?Hapo chenga