The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
hilo la identity nalo neno bwana!ila zisizidi sana kiukweli zinakera zikiwa nyingi mno
Na zikiwa kidogo sana mnasema
'tofauti ya mwanaume na mwanamke hakuna'
sasa ilimradi sijui tufanyaje ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo la identity nalo neno bwana!ila zisizidi sana kiukweli zinakera zikiwa nyingi mno
Na zikiwa kidogo sana mnasema
'tofauti ya mwanaume na mwanamke hakuna'
sasa ilimradi sijui tufanyaje ..
mmmh......si umwambie anyoe......zinakuwa kama brashi....?
Na zikiwa kidogo sana mnasema
'tofauti ya mwanaume na mwanamke hakuna'
sasa ilimradi sijui tufanyaje ..
si umwambie tu kuwa hizo ndevu zinakuchoma, mapenzi sio karaha ati kisa cha kuchomwa ni nini?
Yaani nimekoma kuwafuatisha hawa viumbe..
Ukiziachia ooh zinaniwasha..ukizinyoa ooh zinanichoma..
Duh..ninafanya sasa kwa nafsi yangu tu!!!
Mapenzi yana rangi nyingi aisee..
Juzi kaja mtu hapa anasema yeye bila ndevu hajisikii raha..
Wewe leo tena ndevu ni kero...lol
Sasa sijui tufanyaje sie wajukuu wa Osama!!
We mfuatishe wa kwako comments za wengine ni kuharibiana siku. Kama wa kwako hazipendi nyoa, tatizo litakuja kama wapo wengi wenye interest tofauti itabidi uchague mmoja wa kumsikiliza.
kwani nyie wenzangu mnachomwaje? Mi nahisi uchungu kama nachomwa na pin.
true datmbona wenzio 'huko kuchomwachomwa ndo wanakupenda'?
kuna type ya nywele zinachoma kama sindano, kama pale kwangu na-prefer kusiwe na tofauti kati ya mwanaume na mwanamkeNa zikiwa kidogo sana mnasema
'tofauti ya mwanaume na mwanamke hakuna'
sasa ilimradi sijui tufanyaje ..
kuna type ya nywele zinachoma kama sindano, kama pale kwangu na-prefer kusiwe na tofauti kati ya mwanaume na mwanamke