Nijuavyo mimi, tatizo hili ni 'hormonal imbalance'. Mtu yeyote kwa kawaida huwa ana hormones zote za kike na za kiume mwilini, kinachotokea ni kwamba jinsia ya mtu ndo hu 'balance' hormones mwilini.
Matumizi ya vyakula vyenye kemikali, dawa, na vipodozi huweza kuleta tatizo la 'hormonal imbalance' ambapo hormone ambazo hazikuwa active zinaamka na kuanza kuonesha madhara mbali mbali ikiwa ni pamoja na hizo ndevu kwa wanawake.
Zipo sababu zingine nadhani wajuzi wa mambo wataeleza zaidi.