Dogo mbona unaniwekea uzibe kila kona?
Mhhhh? Nina wasiwasi na hii sredi? Ukisoma katikati ya msitari ,its vere vere........Post zako zinanifurahisha saana
Post zako zina busara saana
Natamani brain yako iwe yangu.
Yote haya ni post za wewe tu.
Big Up Kijana. Opps Babu.
Mbona mi sioni hizo busara za huyu babu yenu?
.....Babu yao usijenge chuki kwa kuwa nimesema ukweli!!
Mhhhh? Nina wasiwasi na hii sredi? Ukisoma katikati ya msitari ,its vere vere........
Mbona mi sioni hizo busara za huyu babu yenu?
.....Babu yao usijenge chuki kwa kuwa nimesema ukweli!!
Maty...........Babu sio mchawi.......maneno yake ndo uchawi.Huyu babu lazima anaturoga huyu sio bure
Nilikuwa naandaa kale kakitu kako nikatume kabla ya muda:smile-big:
We najua umeharibiwa ubongo wako na Profesa Kondoro.............
Hekima za Asprin zimesababishwa na namna alivyoipata elimu yake hapa mkoani mpakani na nchi ya Jauluo Nyeupe tofauti na vijana wa "mtakatifu" st. sijui nini
Maty...........Babu sio mchawi.......maneno yake ndo uchawi.
Haya, hii ni sababu nyiongine ya kupanda Abood fasta.
Ha ha ha haaa!! babuuuu, umenikumbusha mambo ya BCN, bado unayakumbuka?
Huyo mkulu alijaribu kuivuruga halmashauri ya kichwa yangu lakini akashindwa.
Lakini kiongozi mbona una wajukuu wengi humu, halafu wanakupendaga sana, nini siri ya mafanikio?
Mchumba hata wewe?
Looool....kati ya watu wote?
Usijali mwita we unga urafiki na babu akugawie mjukuu mmoja, ukiendelea kumpinga akiweka biti utaondoka jf bila kupendwa
Shikamoo Dady? umeamka salama leo.Nakumisi sana yani.Ha ha ha haaa!! babuuuu, umenikumbusha mambo ya BCN, bado unayakumbuka?
Huyo mkulu alijaribu kuivuruga halmashauri ya kichwa yangu lakini akashindwa.
Lakini kiongozi mbona una wajukuu wengi humu, halafu wanakupendaga sana, nini siri ya mafanikio?
Lazima uwe mkakamavu, mbunifu wa njia za mkato (kukwepa mafuriko), uwahi namba, madaftari yasilowane na mvua, uchonge sanaa na umuungishe mwalimu mabumunda.
Huyu babu lazima anaturoga huyu sio bure
Mi sikumbuki hiyo ila nakumbuka LMM - Last Minutes Method!
hapo kwenye bold, nahisi kama unanionea gere. ..
The POWER of LOVE AND JEALOUSY !!!!Ya nini malumbanoooooooo,sitaki manenooooooo.
Najiweka pembeniiiiiii,niepuke msongamanoooooo.
Hivi umewahi sikia babu na bibi wanapeana talaka?dedication yako hapo chini.
YouTube - Ya nini malumbano na orijino komedi.