Ndg Asprin

Ndg Asprin

Mi sikumbuki hiyo ila nakumbuka LMM - Last Minutes Method!

hapo kwenye bold, nahisi kama unanionea gere...

Nimekubali, kweli we babu yao, una kumbukumbu wewe.

Kwa suala la kukuonea gere kiongozi haiwezekani kabisa, masafa yako mi siyawezi kabisa, nilikuwa siamini kwamba "babu" mwenda pole ndiye hupendwa na wajukuu wengi lakinii sasa nimekubali.

Najua haunaga mawivu kivile unaweza kunigaia mjukuu mmoja, au unasemaje?
 
Shikamoo Dady? umeamka salama leo.Nakumisi sana yani.

Marhaba mwanangu mpenzi, hujambo mtoto mzuri.

Tumekumisi sana nasi pia, ila uwe mwangalifu na babu Asprin, naona anataka kukuzoea, na mimi siwezi kukubali babu alete madhara kwa familia yangu.
 
Hahahahahhahahahaaaa.Nimekuwa siku hizi mjukuuu wangu,sina wivu.Ni kwa ajili ya Hisani ya watu wa Marekani-navunja ukimya.
Ulikuwa unavumilia tuuu........husemi kitu........sasa unasema ..........babe come this way.
 
Nimekubali, kweli we babu yao, una kumbukumbu wewe.

Kwa suala la kukuonea gere kiongozi haiwezekani kabisa, masafa yako mi siyawezi kabisa, nilikuwa siamini kwamba "babu" mwenda pole ndiye hupendwa na wajukuu wengi lakinii sasa nimekubali.

Najua haunaga mawivu kivile unaweza kunigaia mjukuu mmoja, au unasemaje?

Waweza kunitajia mmoja wapo nikuzawadie?
 
Marhaba mwanangu mpenzi, hujambo mtoto mzuri.

Tumekumisi sana nasi pia, ila uwe mwangalifu na babu Asprin, naona anataka kukuzoea, na mimi siwezi kukubali babu alete madhara kwa familia yangu.

halafu hapo ndo unafanya nini sasa na bibi yako? we si umesema unataka kajukuu kangu kamoja?

You have been warned.....:banplease:
 
Mzee wa busara haya bana hongera sana kupata sifa asubuhi subuhi. Mzima lakini
 
Back
Top Bottom