Ndgu yetu Samatta timu mpya ulaya ndiyo basi tena?

Ndgu yetu Samatta timu mpya ulaya ndiyo basi tena?

mwisho2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
724
Reaction score
625
Wakati dirisha linakariBia kufungwa wakuu wengi tunatamani tusikie tunamuona ndgu kipenzicha watz Kyle kwenye elite cup au England.

Binafsi popote nitapomuona is OK

Kila LA kheri
 
Unaleta habari kimajungu majungu Kama vile ulikuwa umetegeshea uone Kama atapata timu mpya au lah!
Uchawi siyo lazima ushike tunguri, by the way Samatta is hundred times before you, that's a bitter pill!

Mtajadili Sana wenzenu Wana make life.
ilibidi nicheke kwanza you idiot una gubu una malaria unakisirani Mkuu acha kutoa maneno yasiyokusudiwa. I love the person Sina wazo LA kijinga kama hilo...imenibidi niedit thread kwa sabb umenisgangaza sana
 
Jana kapiga goli japo timu ilipoteza.
For himself ameongeza kitu katika msimu huu.
 
Unaleta habari kimajungu majungu Kama vile ulikuwa umetegeshea uone Kama atapata timu mpya au lah!
Uchawi siyo lazima ushike tunguri, by the way Samatta is hundred times before you, that's a bitter pill!

Mtajadili Sana wenzenu Wana make life.
Jamani mbona mimi sioni majungu wala masufuria kwenye huu uzi jamani! Mbona naona mtoa mada kama anasikitika na kutamani star angekuwa EPL. Jamani muwe mnasoma kwa utulivu!
 
ilibidi nicheke kwanza you idiot una gubu una malaria unakisirani Mkuu acha kutoa maneno yasiyokusudiwa. I love the person Sina wazo LA kijinga kama hilo...imenibidi niedit thread kwa sabb umenisgangaza sana
Huyu jamaa hata mimi nimemshangaa sana. Inawezekana anesoma ant clock wise vinginevyo sijaona tatizo kwa mtoa mada
 
Jamani mbona mimi sioni majungu wala masufuria kwenye huu uzi jamani! Mbona naona mtoa mada kama anasikitika na kutamani star angekuwa EPL. Jamani muwe mnasoma kwa utulivu!
Hukuona amesha edit tayari!
 
Wakati dirisha linakariBia kufungwa wakuu wengi tunatamani tusikie tunamuona ndgu kipenzicha watz Kyle kwenye elite cup au England.
Binafsi popote nitapomuona is OK
Kila LA kheri
Leo mnageuka, si mlisema Leicester city, Everton zinakimbizana kutaka saini yake ??
 
Aise hadi Dirisha ndogo Desemba.Kuna mwenzake kutoka Genk ameenda EPL anaitwa Leandro Trossard.Daah
 
hapana nilichoweka umekitafsiri kikisirani opposite sio poa
Upuuzi mtupu, unaposema "mnataka" mmuone huko mjue tuko pia tena wengi tu tunaotaka tumuone akicheza ligi ya mabingwa ambapo club yake itaanzia hatua ya makundi.
 
Kwani ana kiwango kikubwa cha UEFA kiasi kwamba asipocheza itakua ajabu sana? Kama nae anajichukulia hivyo basi atakua anakosea sana
Ni bora acheze UEFA kuliko kukimbilia timu ya kawaida ya England.. huko aende msimu ujao maana ndo ndoto yake hatuwezi mzuia.
 
Back
Top Bottom