Ndgu yetu Samatta timu mpya ulaya ndiyo basi tena?

Ndgu yetu Samatta timu mpya ulaya ndiyo basi tena?

Acha acheze Champions League kwanza. Ashindane na akina Messi ndiyo atafute timu Mpya.
 
Inanikumbusha Hashim Thabit alivyoingia NBA wabongo iliwauma sana..alivyoshindwa vyereko kila Kona..sijuhi Nani ameturoga
 
Back
Top Bottom