mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
ilibidi nicheke kwanza you idiot una gubu una malaria unakisirani Mkuu acha kutoa maneno yasiyokusudiwa. I love the person Sina wazo LA kijinga kama hilo...imenibidi niedit thread kwa sabb umenisgangaza sanaUnaleta habari kimajungu majungu Kama vile ulikuwa umetegeshea uone Kama atapata timu mpya au lah!
Uchawi siyo lazima ushike tunguri, by the way Samatta is hundred times before you, that's a bitter pill!
Mtajadili Sana wenzenu Wana make life.
Mwenyezi Mungu ampe mwangaJana kapiga goli japo timu ilipoteza.
For himself ameongeza kitu katika msimu huu.
Hahahaha umeedit chap chap baada ya kuona umeharibu[emoji23][emoji23][emoji23] Safi Sana.ilibidi nicheke kwanza you idiot una gubu una malaria unakisirani Mkuu acha kutoa maneno yasiyokusudiwa
Jamani mbona mimi sioni majungu wala masufuria kwenye huu uzi jamani! Mbona naona mtoa mada kama anasikitika na kutamani star angekuwa EPL. Jamani muwe mnasoma kwa utulivu!Unaleta habari kimajungu majungu Kama vile ulikuwa umetegeshea uone Kama atapata timu mpya au lah!
Uchawi siyo lazima ushike tunguri, by the way Samatta is hundred times before you, that's a bitter pill!
Mtajadili Sana wenzenu Wana make life.
hapana nilichoweka umekitafsiri kikisirani opposite sio poaHahahaha umeedit chap chap baada ya kuona umeharibu[emoji23][emoji23][emoji23] Safi Sana.
Huyu jamaa hata mimi nimemshangaa sana. Inawezekana anesoma ant clock wise vinginevyo sijaona tatizo kwa mtoa madailibidi nicheke kwanza you idiot una gubu una malaria unakisirani Mkuu acha kutoa maneno yasiyokusudiwa. I love the person Sina wazo LA kijinga kama hilo...imenibidi niedit thread kwa sabb umenisgangaza sana
Hukuona amesha edit tayari!Jamani mbona mimi sioni majungu wala masufuria kwenye huu uzi jamani! Mbona naona mtoa mada kama anasikitika na kutamani star angekuwa EPL. Jamani muwe mnasoma kwa utulivu!
Hukuona alichoandika mwanzoniHuyu jamaa hata mimi nimemshangaa sana. Inawezekana anesoma ant clock wise vinginevyo sijaona tatizo kwa mtoa mada
Leo mnageuka, si mlisema Leicester city, Everton zinakimbizana kutaka saini yake ??Wakati dirisha linakariBia kufungwa wakuu wengi tunatamani tusikie tunamuona ndgu kipenzicha watz Kyle kwenye elite cup au England.
Binafsi popote nitapomuona is OK
Kila LA kheri
Mnataka aende timu ambazo hazishiri UEFA?
Upuuzi mtupu, unaposema "mnataka" mmuone huko mjue tuko pia tena wengi tu tunaotaka tumuone akicheza ligi ya mabingwa ambapo club yake itaanzia hatua ya makundi.hapana nilichoweka umekitafsiri kikisirani opposite sio poa
Ni bora acheze UEFA kuliko kukimbilia timu ya kawaida ya England.. huko aende msimu ujao maana ndo ndoto yake hatuwezi mzuia.Kwani ana kiwango kikubwa cha UEFA kiasi kwamba asipocheza itakua ajabu sana? Kama nae anajichukulia hivyo basi atakua anakosea sana