Ndgu yetu Samatta timu mpya ulaya ndiyo basi tena?

Acha acheze Champions League kwanza. Ashindane na akina Messi ndiyo atafute timu Mpya.
 
Kwa ligi ya epl au serie A ingekuwa ngumu sana kwake .
Wacha abaki ubelgiji akivuta Mshahara kiulaini
 
Inanikumbusha Hashim Thabit alivyoingia NBA wabongo iliwauma sana..alivyoshindwa vyereko kila Kona..sijuhi Nani ameturoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…