Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Zimeisha... jana nimeenda Shear Illusion Mcity naambiwa ticket zimeishaHakuna show inayoweza kosa watu hapa mjini! nasikia V.I.P ticket zilisha kwisha!
i thought jf is where we dare talk openly.... mbona kama unataka kuibaka hiyo dhima?Basi mkuu....tuuzike huu mjadala maisha yaendelee.....
Its gonna be a waste of money... album mbaya,
Its a waste of money... trust me!!Hapo semea hela zako lkn sio mifuko ya wenzako... Wengine tulianza kuomba uzima tuione siku ya leo... Vazi langu lileeee tayari kwa tukio😎😎....Jide utanimaliza... Kukupenda tu siachi.
Its a waste of money... trust me!!
We hujawahi kupania kitu halafu ukajuta unapokipata??
Wapi binamu Warumi kokote ulipo njoo utie neno
Jamani kumbe binamu warumi kapigwa ban duhHuyo kapigwa ban na matusi yake. Hii JF ya sasa hivi Ni very strickly, usipokuwa mstaarabu inapigwa ban mpaka PC yako
i thought jf is where we dare talk openly.... mbona kama unataka kuibaka hiyo dhima?
Haaaaa anaanza kuchukua matukio lolsYuko Mlimani city tayari kwa Naamka tena concert!
Nitakuwepo eneo la tukio na wifi yenu mtoto mzuri.