NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Siledi hii nimesoma komenti zoooote mwanzo mwisho! Nampenda huyu Jay Dee balaa,
 
Habari na Diamond na Kiba hawa wengine wapo kusindikiza wanamuziki. Ni mapambano ya utangulizi maana baada ya hii shughuli anaingia kapuni.
 
Perfume la jide lilinisisimua sana jana ananukia kama malaika nilitaka nimpe mkono FBI wakanizinga

But nime enjoy sana jana, music halisi sio kelele
 
Back
Top Bottom