NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Shishi baby kapiga show zaidi ya hii Ubelgiji. Wazungu walisukumana mpaka ilibidi waongeze ulinzi wa ziada. Sio hapo mlimani City, si kitchen paty Tu hiyo
 
Shishi baby kapiga show zaidi ya hii Ubelgiji. Wazungu walisukumana mpaka ilibidi waongeze ulinzi wa ziada. Sio hapo mlimani City, si kitchen paty Tu hiyo
1463787515224.jpg
Rudia kusoma post yangu vizuri then urudi tena
 
Hivi kibongobongo kuna msanii wa kike ambaye anaweza/angeweza kupiga show classic na yenye staha kama hii ya Jide and watu wakafurahi to that extent. Sipati picha angekuwa V-money au Shishi Baaby, tungeona viungo vyote visivyotakiwa kuonwa kwenye public.
Kama u were in my mind vile...
she is really comando hao wakina Shilole bado sana aisee
 
Shishi baby kapiga show zaidi ya hii Ubelgiji. Wazungu walisukumana mpaka ilibidi waongeze ulinzi wa ziada. Sio hapo mlimani City, si kitchen paty Tu hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejua kuvunja mbavu zangu
 
Ali kiba nae anabidi ajifunze kariba ya kuwa ktk hali ya usupastaa! Talk less na endana na mazingira! Show ya mtu mwingine unaanza maneno and the like! Kuimbisha watu wakati hata Jide alikuwa hawaimbishi but waliimba kwa hiari na msukumo wao! Mara makofi! Nimesign dili kubwa aaagh! Anahitaji orientation! Nahisi kwa kiasi fulani amewaboa wahudhuriaji.
Haaaa watu walimfurahia alivyoingia na kuimba kibwagizo cha aje.. baadae huyo anaanza maneno kibao mara kumgombeza Dj... nikasikia watu wana shout aandae concert yake ndio aanze kuwapa hayo maneno yake lol
 
Khaa, mkuu kulea ndoa na kulea watoto wachanga mapacha, ipi kazi zaidi? Maana dizain naona kama ndoa inakutesa, yani mpaka ulinde wife aotke ndio mbebane home?

Mkuu kuna point unamiss kwenye maelezo yangu. Anyway asante kwa kunihurumia mkuu.
 
Shishi baby kapiga show zaidi ya hii Ubelgiji. Wazungu walisukumana mpaka ilibidi waongeze ulinzi wa ziada. Sio hapo mlimani City, si kitchen paty Tu hiyo
Ha ha ha ha ha wazungu walisukumana lol
 
Kama u were in my mind vile...
she is really comando hao wakina Shilole bado sana aisee
Nilikuwa nakuangalia tuu unavyo yarudi! Kwa kuuchuna tuu hujambo! Jide ni next level jana nilithibitisha hakika na hakuna msanii wa kike ambaye anaweza kupiga show kama hile na muda wote ule na watu wakafurahi na hakuwa na wasindikizaji!
 
Dah analilia kukojozwa tu. Kwa nini asiendelee na maisha yake? Kila kukicha analalamika tuuu km yeye komando asilie lie
 
Saa 8 hii,watu wamechoka mama.
Hata T.I mwaka juzi hakupata shangwe la kutosha kwenye Fiesta kama Ali Kiba.
Watu wameshangilia sana mwanzo hadi wamechoka.
Hata hivyo nadhani kubwa ni nyomi alilolipata.... katisha!
Hivi IDRIS si ni mtangazaji wa choice Fm ya Clouds media group? Hii kwenda kwenye show ya Jide haiwezi kumpotezea kibarua?
 
Hivi IDRIS si ni mtangazaji wa choice Fm ya Clouds media group? Hii kwenda kwenye show ya Jide haiwezi kumpotezea kibarua?

samahani mkuu naomba kujua mastaa wa bongo waliokuwepo katika show hii , ukiacha Wema na Alikiba maana kuna mda kitwanga zilinizidi
 
Back
Top Bottom