vantz
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 1,107
- 570
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mbona kama kuna watu wamepaniki hivi,mara shoo itakuwa mbaya mara upotevu wa hela.ikiisha hii mwambieni gadna afanye na yy shoo yake tuone nani zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mbona kama kuna watu wamepaniki hivi,mara shoo itakuwa mbaya mara upotevu wa hela.ikiisha hii mwambieni gadna afanye na yy shoo yake tuone nani zaidi
Hajiitambui tu. Jide alipaswa kuwa malkia wa Africa kwa sasa. Hata kina Yemi Alade wangekuwa wanasubiri.
asante kwa busu lako dada hebu kuja PMMfyuuuu shame on u
Oyoooooooo Ali Kiba wangu kipenzi jamaniiiiiii!
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
samahani mkuu naomba kujua mastaa wa bongo waliokuwepo katika show hii , ukiacha Wema na Alikiba maana kuna mda kitwanga zilinizidi
Unafikiri B dozen au Babra hassan anaweza kumsindikiza baby wake kwenye show ya Jide? Unafikiri wana uhuru huo?Si alimsimdikiza baby jamani?
[emoji39] [emoji39]
Lulu...,Hando,Pj ,Maestro!samahani mkuu naomba kujua mastaa wa bongo waliokuwepo katika show hii , ukiacha Wema na Alikiba maana kuna mda kitwanga zilinizidi
Kusema kweli Jide ana sauti! Mwanzo mpaka mwisho.Hivi kibongobongo kuna msanii wa kike ambaye anaweza/angeweza kupiga show classic na yenye staha kama hii ya Jide and watu wakafurahi to that extent. Sipati picha angekuwa V-money au Shishi Baaby, tungeona viungo vyote visivyotakiwa kuonwa kwenye public.
Unafikiri B dozen au Babra hassan anaweza kumsindikiza baby wake kwenye show ya Jide? Unafikiri wana uhuru huo?
Lulu...,Hando,Pj ,Maestro!
Google....Yupi?!
Kwenda zako wewe... Shabiki wa kukojozaAisee watu mna moyo... Yani mlikesha tizama taarabu hizo. HONGERENI.