NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Kumbe sio Mimi peke yangu nnae ona hivyo....yani uimbaji wake kama mama anaefua au anepika jikoni anajiimbia tu kujichangamsha. My view though msitoke povu
Sauti iko chini sana sidhani kama watu walioko nyuma wanaenjoy
 
Back vocals wanamuangusha aseee...sijui kawalipa hela kiasi gani ?????.......
Afu hawajui kuimba vyema kuendana na jide..wamemuangusha na labda niwasubirie mbeleni

Vinginevyo show ipo poa kwa maana anaimba kwa mfumo wa kiutu uzima hivyo ,shangwe ni lazma ziwe za nadra tofauti na show za kizazi kipya...
Hizi ni levo za kina mbilia abel

Huu ndo muziki halisia bila ya vikorombwezo vya ajabu ajabu vya kisasa.
 
hahaha eti sura kama tofali!! jide kampa kijembe gadner live
 
Hizi nyimbo za vijembe watu ndo wanashangilia yaani kisharishari
 
Aisee pamekucha ...walio mlimani city wame enjoy!
 
huu wimbo wa siwema ni dongo la gadner? watu wanapiga shangwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…