Ndimu na pilipili kwa mbaali tamu balaa

Ndimu na pilipili kwa mbaali tamu balaa

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
ImageUploadedByJamiiForums1401280928.084824.jpgkama huja jaribu jaribu leo na huu ndi msimu wenyewe!
 
Muhindi lol mie napenda ila huwa nachoka kutafuna

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Ilo neno. Jaribu ya kuchemsha si mabaya halafu kdg yanakua malaini hayachoshi kutafuna.

Ayo ya ndimu na pilipili ndo naona iyo show saivi zamani haikuwepo. Ila mimi sihisi kama ni tamu mahindi kuweka ndimu na pilipili
 
Ni tamu sana mie nliwahi kula hiyo ...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom