Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Kwa kweli inasikitisha sana. Utakuta mtu yuko bize siku nzima kuongelea habari za wasanii na pengine kasahau kujihusisha na jukumu la kusaidia wazazi wake. Kuna siku Diamond alifanya sherehe ya kumtoa mtoto wake unaambiwa watu wasioalikwa walijazana nje kutizama na kuhesabu wasanii wanaoingia nyumbani kwa Diamond. Seriously, hivi mtu unashindwa kufanya la maana kweli kutizama wasanii wa Tanzania? This is very stupid tena hakuna mfano.
Maisha hayako siriaz kiasi hicho, nyie ndio mnakufa na stress kwa kucomplicate mambo. Kama huna time na wasanii hili jukwaa umefata nini?
 
Walisema karanga za kwake kumbe yeye ni mshereheshaji tu,wakaendelea na kusema kanunua jumba la bilioni kwa ajili ya runinga yake,kumbe ni mpangaji tu.
 
sio mpya hao tttr auto upgrader ni garage ya body wana pimp magari na ku upgrade nosecut..
Hata kitu kipya unaweza ukaiupgrade, tatizo lako ww unazani wanaupgrade magari ya zamani. Kuna kipindi kimoja nilikiona ktk channel ENG1 star times Kuna jamaa wawili mmoja ana degree ya electrical engineering na mwengine mechanical engineering, wameibadilisha Rolls royce mpya ($250,000) Kuna vitu vya ndani walioongeza, wakanyanya car suspension system, wakaweka ki carrier kwa ajili ya kuhifadhia ndege na hilo gari ni la tajiri wa UK analitumia kuwindia ndege, kwa hiyo acha kumeza hata gari jipya unaweza ukaliupgrade na Kuna watu ndio kazi zao.
 
Hilo gari linakupa nguvu ya kuongea kwenye kikao cha ukoo hata kama 18yrs na kuitwa itwa baba umekula baba unasemaje kuhusu mawazo ya baba yako mkubwa
 
Drama hizi hakuna ndinga mpya wala nini
 
Kabisa mkuu kuna magari ya kudiscuss sio hiyo mitulinga!!kale kabinti ka Nandy kana ki gari flani hivi unaweza kukidiscuss,juzi ally kiba kaenda clouds na ki toyota double cabin, haha wabongo kma kawaida wakasifia
Mkuu kama hujui kaa konyag ALIKIBA ana miliki VOLKS WAGEN AMAROK Ile cyo TOYOTA mkuu
 
Hata kitu kipya unaweza ukaiupgrade, tatizo lako ww unazani wanaupgrade magari ya zamani. Kuna kipindi kimoja nilikiona ktk channel ENG1 star times Kuna jamaa wawili mmoja ana degree ya electrical engineering na mwengine mechanical engineering, wameibadilisha Rolls royce mpya ($250,000) Kuna vitu vya ndani walioongeza, wakanyanya car suspension system, wakaweka ki carrier kwa ajili ya kuhifadhia ndege na hilo gari ni la tajiri wa UK analitumia kuwindia ndege, kwa hiyo acha kumeza hata gari jipya unaweza ukaliupgrade na Kuna watu ndio kazi zao.
lingekua jipya ma liveti yasingeonekana vile
..
 
Back
Top Bottom