Ndinga mpya ya Drake

Mimi wazeya huwa nipo tofauti kidogo na migari yaani sionagi uzuri hasa wa hizi kitu. Gari ninazo penda ni Nissan tena nyeupe kama ya wale watu wasiojulikana na Toyota karibia aina zote.


Hela ikikuchanganyia ndo utajuwa uzuri wake.

Unalack of exposure ukawa na Rafiki yako akawa na hiyoo gari ukaiendesha apo ndani raha utakayopata kesho utavunja kibubu.


Sasa kama Nissan za watu wasiojulikana ndo hizo unaziona kila siku unazipanda lazima utazipenda tuu.
 
Nimeifanyia nini Tanzania kwani Mimi Baba wa taifa! Wengine wapambane na hali zao Kama Mimi nilivyopambana na yangu, sipo hapa kwaajili ya kusaidia mtu. Natafuta pesa kihalali na Natoa Kodi inatosha

Sina foundation Wala siji kuwa nayo siamini Katika mambo hayo. Hela yangu maamuzi yangu

Kama mtu anasubiri Hadi awe inspired ndo afanye a
 
Gari kama siagi iliopakuliwa kwenye joto aisee hapana!

Hata iuzwe billion 90 its one among of the ugliest cars ever produced ikifuatiwa na buggati.

Hivi hawa jamaa sijui wanapendea nini vigari shapeless unakaa kama kiazi kilichochongwa wakati kuna madude yale ma Gmc, Chevrolette na ma Escalade ya kutosha mjini marekani hapo. Nunueni hata ma G wagon basi sio kupoteza hela kununua viazi mbatata.
 
Usilinganshe kwa uchaguzi
hiyo gari thamani yake haifikii karati 5 za dhahabu zinazoibwa na wazungu tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…