Ndinga mpya ya Drake

She say, "Do you love me?" I tell her, "Only partly"
I only love my bed and my momma, I'm sorry
 
Shillingi billion 15???acha kutushika masikio wewe kama La ferrari litsuzwa billion 15 je
Konisgegg , buggati,lamborgin veneno,
Ata buggati haiuzwi hyo helaa
Buggat chiron 5.2 billion tz shng
 
Shillingi billion 15???acha kutushika masikio wewe kama La ferrari litsuzwa billion 15 je
Konisgegg , buggati,lamborgin veneno,
Ata buggati haiuzwi hyo helaa
Buggat chiron 5.2 billion tz shng
sio vitu vya kubuni hivi....
tena nikwambie ni 15 billion na 800 million (ndo ushee yenyewe) ...tena ukijaribu zaidi ku search ( that is if you search) utaambiwa wa contact kampuni ya Ferrari wakupe bei wao wenyewe mana hata wakiandika wanajua anayetaka kujua anataka kununua na ana PESA
 
She say, "Do you love me?" I tell her, "Only partly"
I only love my bed and my momma, I'm sorry
hahahhaha ...

"bad things...there is lot of bad things that they are wishin' on me "
 
hahaha ...nafikiri ni ile pride ya kwamba unamiliki gari yenye thamani kubwa sana ya kampuni flani
 
Kwenye G wagon hapo tukonsawa,ila labda anayonameamua kubadili ladha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…