BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Hahahah!Ali Kiba analo kama hilo sema apendi show off tu kama Samatta
Lakini show .off ya nywele kubadili rangi anafanyaAli Kiba analo kama hilo sema apendi show off tu kama Samatta
Lakini show .off ya nywele kubadili rangi anafanya
hahahahahahaahahah jamani avatar yako. tehe tehe nime mmiss huyu mzee hahahahaAngeenda kwa money mywether jr akamvue moja. Money ni noma.
huwezi kuacha kutaja jina la nadhoa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta.
unadhani likiwa kubwa kama trekta ndo linakuwa la thamani???Unadhalilisha maana ya neno ndinga.... Hako ni kagari
Watu mna nyodooo[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Unadhalilisha maana ya neno ndinga.... Hako ni kagari
Yep! Mara kumi angenunua IST.Unadhalilisha maana ya neno ndinga.... Hako ni kagari
Ndinga ya ukweliUnadhalilisha maana ya neno ndinga.... Hako ni kagari
Hhahahaha=Nahodha.
Hahaha huoni ndinga hio? Si mchezo bwana ..utashindana wapi na samata bwana japo hawez kushindana na akina alexis sanchez lakin milioni 50+ kwa mwezi sio haba bwana kwa miaka 2 hapo ana 1 Bilion na usheeKwangu SIoni NdInGa yeyote,ni Mesarati.?
Yuko kwenye program kali sana ya mazoezi na uangalizi wa hali ya juu wa kitaalamu sana wa madaktari akirudi itakua balaasiku hizi nyavu amezisusa