Ndinga mpya ya Mbwana Samatta

Ndinga mpya ya Mbwana Samatta

Poppa apunguze sana mipicha picha na kukesha mitandaoni badala yake akaze buti zaidi vinginevyo akifanya mzaha hapo Ubelgiji ndiyo itakuwa Kigoma / Mwisho yake Kimpira na baada ya muda mchache tutakuwa nae tu hapa ' down town ' Bongo.
 
Nlijua hii
images.jpg
 
Unajua nlikua namsikiliza hapa papaa fere golla ngoma yake mpya ya mwaka jana ...anyway kiongozi wenzetu wako mbali sana...alipoumia alikua yuko kwenye uangalizi maalumu wa madaktari na mazoez makali kwaio sina shaka atarudi katika fomu muda mfup tu , and actually ameshapona na alicheza majuz kati hapa
Hizo zingine ni mikogo tu ya kawaida kama wachezaji wengine wa juu huko, umrudishie nini maulana tena kwa mshahara wa milioni 55 kwa mwezi ..mikogo itakuepo
 
Moja kati ya majina makubwa katika soka kutokea ukanda wa Afrika Mashariki basi huwezi kuacha kutaja jina la nadhoa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta.

Samatta ni moja kati ya mastaa wa soka ambao hawapendi kuweka mali zao hadharani mara kwa mara lakini siku chache zilizopita amepost picha ya gari nyeupe ambayo inaelezwa ni ndinga yake mpya. Hongera kwake.

1c5c3804214aeaf6df8072f8bf5b16cf.jpg
Nissan Murano new model
1200px-2015_Nissan_Murano_SV_AWD,_front_left.jpg
 
Shukran mshana ......wabongo bwana ...kuita tu ndinga mapovu kibao...aise uchawi unaanzaga hivi hivi ...hahaa...wabongo wnaataka uite "gari" ....sasa muulize yeye anatembelea gari gani....unakuta gari ya milion 5 ama 10 basi anajiona top of town ....hii.gari price yake kwa tsh ni milioni 70 ...actually ni mshahara wake wa miezi 2 tu ...kwa mbongo mwenye mapovu ni miaka 10 ma 20 kabisa

15b7bd7d94f19857c375b66884bec806.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom