Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Na wewe unafanya kazi gani ?mwana fa ana bilioni ya tigo amelipwa ndio anakula nayo bata..
edo kumwembe anafanya kazi 3 zinazoonekana... supersport kama mtangazaji mpira kiswahili, mwanaspoti kama muandishi wa makala, sport pesa kama mchambuzi. so mishahara yote hiyo inampa bata.. omi dimpoz hata mimi simuelewi
Na wewe unafanya kazi gani ?
Fa,kuna mdau humu alisemaga wanapelekaga mzigo converty city uingereza,huyo bosi wa huko mgonjwa saivi kapooza.anyway tutasikia tu siku ya siku.Fa kajipanga muda sana huyo, ila Kumwembe na Ommy mimi pia naungana na wewe.
Fa,kuna mdau humu alisemaga wanapelekaga mzigo converty city uingereza,huyo bosi wa huko mgonjwa saivi kapooza.anyway tutasikia tu siku ya siku.
Wivu tu unaksumbua
Acha kunifata fata
Mji umeharibika kabisa huuUnatongoza dume mwenzio
[emoji23][emoji23][emoji23]tumeachana huoni anavyonchimba bitiMtu na mpenzi wake [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]tumeachana huoni anavyonchimba biti
uzuri wake hajakununulia wewe ulipende usilipende[emoji23]Eeh mziki wa bongo fleva unalipa, hongera ommy D, tunyooshe wanazengo[emoji23], ila Gari yenyewe mwenzangu mmh sijaipenda mbea mie
View attachment 1108235View attachment 1108236
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamkawii kupatana mkaenda kugusisha tena vikojoleo vyenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajuana kwa vilemba[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]waarabu wa pemba
Mwana fa anakula sana shavu kwa sallam ma boss wa gsm na mo kwenye maswala finnance edo kumwembe anakula pela za maltichoice sportspesa mwananchi na kuna kampuni moja imenitoka ila dimpoz na kiba mtihani sanaHuyu, mwanaFA,na edo kumwembe,nna mashaka nao sana.
FA kuna dili lingine amekula kwa azamFa kajipanga muda sana huyo, ila Kumwembe na Ommy mimi pia naungana na wewe.
Umesahau kuokota mkuuIshu siyo kampa nani, bali gari ni ya nani? Yaani kadi ya gari ina jina la nani?
Mali hupatikana kwa kupewa, kununua, au kurithi.
Ishu ni title ya mali husika!
Acha wivu....ndio kaishasema yake unateseka na nn boss!?Dimpoz hana uwezo wa kununua hiyo gari...
Hata ahongwe vipi hawezi kuhongwa hiyo gari...
Dimpoz hata ajibane kwa mwaka mzima bila kufanya matumizi yoyote hawezi kununua rim ya hiyo gari..
Umesahau kuokota mkuu