Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Na wewe unafanya kazi gani ?mwana fa ana bilioni ya tigo amelipwa ndio anakula nayo bata..
edo kumwembe anafanya kazi 3 zinazoonekana... supersport kama mtangazaji mpira kiswahili, mwanaspoti kama muandishi wa makala, sport pesa kama mchambuzi. so mishahara yote hiyo inampa bata.. omi dimpoz hata mimi simuelewi