Mwana ukome
Member
- Apr 22, 2019
- 63
- 41
Ina mambo beby ?Sikuachi nyau ww
All these are pure lies!Acha wivu....ndio kaishasema yake unateseka na nn boss!?
Punguza wivu. Fanya kazi kwa bidii na wewe ununue gari la thamani.mimi ni dobi
Punguza wivu. Fanya kazi kwa bidii na wewe ununue gari la thamani.
Si kila uonacho kipo kama unavyokiona.wivu wa nini ? gari ninalo passo tu najivunia limetokana na jasho langu.. siwezi onea wivu mtu anaetafuta kwa jasho.. mbona diamond hatumuonei wivu.. sababu jasho lake linaonekana..
Babe good nightWanajuana kwa vilemba[emoji23][emoji23]
Ni sahihi ulichoandika mkuu?Shoga anaonea wivu shoga mwenziye ..Warumi acha ushoga wazazi wako wanataka uowe uzaeee ujaze dunia
Basha Nini?Hii kapewa na joho wa Kenya mombasa
Je wewe ni mke wa Dimpoz mpaka umjue dimpoz kiundani hivyo?Dimpoz hana uwezo wa kununua hiyo gari...
Hata ahongwe vipi hawezi kuhongwa hiyo gari...
Dimpoz hata ajibane kwa mwaka mzima bila kufanya matumizi yoyote hawezi kununua rim ya hiyo gari..
Ndio Warumi ni mwanaumeNi sahihi ulichoandika mkuu?
Anazo hizo nguvu zakuwa Na mkee hahahahahaahahah hahahahahaha nakucheka Kwa dharauJe wewe ni mke wa Dimpoz mpaka umjue dimpoz kiundani hivyo?
Lakini hata ku posess bila title kubadilika inaweza kua ya kwakoIshu siyo kampa nani, bali gari ni ya nani? Yaani kadi ya gari ina jina la nani?
Mali hupatikana kwa kupewa, kununua, au kurithi.
Ishu ni title ya mali husika!
"Possession" inaweza kuwepo bila title.Lakini hata ku posess bila title kubadilika inaweza kua ya kwako