Ndinga Mpya ya Ommy Dimpozi

Ndinga Mpya ya Ommy Dimpozi

wivu wa nini ? gari ninalo passo tu najivunia limetokana na jasho langu.. siwezi onea wivu mtu anaetafuta kwa jasho.. mbona diamond hatumuonei wivu.. sababu jasho lake linaonekana..
Si kila uonacho kipo kama unavyokiona.
 
Mpyaaa vipi Na imepigwa rangi?? Kuwa unatowa habari zaukweli we shoga we ..
Screenshot_20190526-221842.jpeg
 
Shoga anaonea wivu shoga mwenziye ..Warumi acha ushoga wazazi wako wanataka uowe uzaeee ujaze dunia
 
Bila shaka hiyo biashara ya upunga inaubaguzi sana, haiwezekani mtoto mzuri kama James Delicious hana hata kipaso halafu.... hao wenye sura ngumu ndo mnasema wanahongwa mandinga ya hatari
 
Hiyo ndinga ni zile zinauzwa bei mbaya expensive yaani bei kali isiyoridhisha
Kwa mtu kama ommy hawezi nunua labda kukodi kwa ajili shoot
 
Hio gari ilibidi iwe rangi nyeusi au gray + rim nyeusi full tinted mpaka kioo cha mbele + Led Flood Lights ni hatari tupu kama unabisha nenda google andika " black range rover sport 2007" hatari tupu...
 
Ishu siyo kampa nani, bali gari ni ya nani? Yaani kadi ya gari ina jina la nani?

Mali hupatikana kwa kupewa, kununua, au kurithi.

Ishu ni title ya mali husika!
Lakini hata ku posess bila title kubadilika inaweza kua ya kwako
 
Lakini hata ku posess bila title kubadilika inaweza kua ya kwako
"Possession" inaweza kuwepo bila title.
"Ownership" ndiyo yenye title.
Ili title ibadilike ni lazima owner akubaliane.
Mfano, owner akiibiwa gari, mwizi anakuwa na possession ila hana title maana owner hajakubaliana kuhamisha umiliki.

Dereva wa daladala anakuwa na possession Ila owner yaani tajiri ndiye mwenye title
 
Back
Top Bottom