Unapokua hujafanya perfection ya inheritable property unakua possessor lakini owner ni deceased tuna assume hakuna probate matter iliokua instit"Possession" inaweza kuwepo bila title.
"Ownership" ndiyo yenye title.
Ili title ibadilike ni lazima owner akubaliane.
Mfano, owner akiibiwa gari, mwizi anakuwa na possession ila hana title maana owner hajakubaliana kuhamisha umiliki.
Dereva wa daladala anakuwa na possession Ila owner yaani tajiri ndiye mwenye title
Hii Range ni zile zimepitwa na wakati hamuoni kwenye net wanauza mil 30, angalieni vizuri, New Model ziko tofauti na hiziEeh mziki wa bongo fleva unalipa, hongera ommy D, tunyooshe wanazengo[emoji23], ila Gari yenyewe mwenzangu mmh sijaipenda mbea mie
View attachment 1108235View attachment 1108236
30m ni ndogo? Hio hata ukipewa bure kama una hela za mawazo itakushinda.Hii Range ni zile zimepitwa na wakati hamuoni kwenye net wanauza mil 30, angalieni vizuri, New Model ziko tofauti na hizi
Hasa vijana waliopanga maeneo ya mbezi beach, Marinda ni sufuri bin sufuri...Msione watu wanaendesha magari mzuri mjini. Wanapitia makubwa.
unamchukia ommyEeh mziki wa bongo fleva unalipa, hongera ommy D, tunyooshe wanazengo[emoji23], ila Gari yenyewe mwenzangu mmh sijaipenda mbea mie
View attachment 1108235View attachment 1108236
Hii kapewa na joho wa Kenya mombasa
Hujaipenda kwani ni yakwako?Eeh mziki wa bongo fleva unalipa, hongera ommy D, tunyooshe wanazengo[emoji23], ila Gari yenyewe mwenzangu mmh sijaipenda mbea mie
View attachment 1108235View attachment 1108236
We hujui?jamaa pesa anapata wap
Kwenye makalio
Nilitaka kuuliza hili swali....kila siku tunaona wakina mond wanaswampa hadi bahrain na korea kupiga show ila huyu bingwa simuoni naona anakula matunda sijui kapanda wapi
Mke wa mtu huyo.Hivi huyu hua na safari zote zile hua habebi sembe kweli? Maana hamna muziki hapo.
Hadi nmekumbuka ile video ya ngwea madocta wakimtolea sembe tumboni.
By the way gari nzuri, hongera zake.