Ndio fashion siku hizi

Ndio fashion siku hizi

Okinawan

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2018
Posts
253
Reaction score
261
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikisikia kauli kama hii ikitolewa na watu mbali mbali hasa unapohoji ww kwanini unafanya hivi utasikia " ndio fashion sikuhizi "

Kauli hii imetumika kuhalalisha mambo mazuri hata mabaya na hasa unapota taka kujua kwanini mtu huyo anafanya hivyo utasikia " ndio fashion sikuhizi " bila hata kutoa maeleo ya ziada.

Madhara ya kauli hizi nipamoja na

* Dada zetu kuliwa jicho/Tigo
* Kuvaa nguo nyeupe/nyeusi msibani
*Kuvaa miwani nyeusi msibani
*Dada zetu kuvaa nguo za jioni maofisini
*Vijana wa kiume kuvaamilegezo
*Kuingiliana kinyume cha maumbile
*Usagaji
*Kuweka maua makaburini ambapo baadae mengine huwa yanaibiwa.
*Kujifungua kwa oparesheni hatakama ulikuwa na wezo wa kuzaa kawaida
* Kukataa kunyonyesha ilihali muda unao na maziwa yanatoka bila shida.

Faida ya kauli hii

*Husaidia kubadilisha fashion za nguo kila mara hivyo watu kuwa na mionekano ya kuvutia na kupendeza.

*Biashara ya vitu vipya mbali mbali mfano vufaa vya ujenzi,vyombo vya usafiri, Tv,Sabufa,Viti na makochi,makabati,meza za vioo nk hupokelewa kwa muitikio mkubwa sokoni

Najua yapo mengi wanajamii mnayoyafahamu. je,kauli hii ya " ndio fashion siku hizi " kwanini hutumika kukwepa kutoa maelezo kwa kina ya kwanini mtu huyo anafanyahilo jambo fulani na je,ni kwanini hutumika kutuletea mambo ya ajabu ajabu japokuwa mambo mazuri pia yapo .
 
kuvaa nguo nyeusi msibani na miwan myeusi ni true na hata mauwa kuweka yawezekana wewe ni din nyingine sio mkristo coz me binafsi nimeanza kuona tangu utoto wangu pengine wewe umekulia kijijin na hata vijijin mfano wanyakyusa huvaa hivyo au huvaa kitambaa cheusi kuwakilisha msibani
 
Back
Top Bottom