Ndio kuachwa huku au?

mwuulize akupe ukweli wake.........................lakini uzoefu unaniongoza kuamini ya kuwa.......................it is over....................if he is not calling......................then most likely ............................he is not in you
 
Asante Rose,father filipe hajambo,nasikia isabela ana mpango wa kunichukulia salvado wangu!

pole sana andika maumivu akali kwa sababu lisemwalo lipo kama halipo lipo nyuma laja..............
 
MDADA APO KIMBIA...dzain jamaa yupo kwenye dilema ...ana demu mwngne vp ajui abase wap....mwambie akupe TAMKO MOJA...neno moja tu na roho yako itatulia...

akijulishwa ni kibuti roho yake kweli itatulia.............
 
hakuna kilicho rahisi katika mapenzi....jifanye mjinga mtext,mkol...ukiona hachange mchunie hapo ndipomutajua alikuwa sirias au jipapa tu
 


jamani next time hebu tumia punctuation marks....duh...hakuna hata breki!!!
 
Nikwamba wanawake wenyewe mnaoneana wivu sasa wewe wakati haupo alijipitisha mwenziye akamtamani!nasasa ndo yuko naye chunguza ila yawezekana ni ubusy na kwakuwa anajua niwake haitaji tena zile zakupitiliza kwani huko kwenye imaya yake!!lakini nikutokuwa na akili kwani ukifanya hivyo unamuumiza mwenziyo vumilia uone mwisho wake na wewe hukiwa standby kama atakuwa amesepa usiumie moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…