akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Atawapungiaje mkono watu ambao hawakumpigia kura
Muda huongea...Tena kaa Kwa kutulia.
Ofcoz ofcozMuda huongea...
Siyo rais wetu, kwa hiyo hatutaki atupungie mikono. Ajipungie yeye mwenyewe.Msafara wa Mama Samia umipata hapa Arusha si muda mrefu ukielekea KIA cha ajabu ameshusha mapazia kwenye gari yake. Mbele anaonekana amekaa mpambe wake yeye haonekani wala hapungi mkono kwa wananchi kama.ilivyokuwa kwa JPM
Hataki kuonana na wananchi?
Wa nini achana nayeMsafara wa Mama Samia umipata hapa Arusha si muda mrefu ukielekea KIA cha ajabu ameshusha mapazia kwenye gari yake. Mbele anaonekana amekaa mpambe wake yeye haonekani wala hapungi mkono kwa wananchi kama.ilivyokuwa kwa JPM
Hataki kuonana na wananchi?
mishale ya sumu ipo tayari kwa kazi aje tuMsafara wa Mama Samia umipata hapa Arusha si muda mrefu ukielekea KIA cha ajabu ameshusha mapazia kwenye gari yake. Mbele anaonekana amekaa mpambe wake yeye haonekani wala hapungi mkono kwa wananchi kama.ilivyokuwa kwa JPM
Hataki kuonana na wananchi?
Raia masnich sana imagine only 7% tu ya waliojiandikisha ndio walipiga kura.Msafara wa Mama Samia umipata hapa Arusha si muda mrefu ukielekea KIA cha ajabu ameshusha mapazia kwenye gari yake. Mbele anaonekana amekaa mpambe wake yeye haonekani wala hapungi mkono kwa wananchi kama.ilivyokuwa kwa JPM
Hataki kuonana na wananchi?
Si ndio hapo. Watu tumempigia kura halafu hataki kutusalimia?!! Watu 31m jamani.Hatak kuwapungia mkono wapiga kura wake 98%
Ebu fafanua, kwa kina!.....hapungi mkono...
'Hati ataki' nini?Hatak