Wakuu kwema?
Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba.
Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa hapa Geita
Baada ya kumtafuta bila mafanikio nikaamua kukaa kimya.
Jana wazo likanijia nipige namba yake lakini sikumpata na mbaya zaidi inaonekana kashapewa mtu mwingne hiyo laini yake.
Wee mzee Shulanyuwi wa Singida kama utaona huu uzi unaweza nitafuta nikupe kodi yako mkuu.