Ndio kusema nimeokota nyumba au?

Ndio kusema nimeokota nyumba au?

Wakuu kwema?

Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba.

Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa hapa Geita

Baada ya kumtafuta bila mafanikio nikaamua kukaa kimya.

Jana wazo likanijia nipige namba yake lakini sikumpata na mbaya zaidi inaonekana kashapewa mtu mwingne hiyo laini yake.

Wee mzee Shulanyuwi wa singida kama utaona huu uzi unaweza nitafuta nikupe kodi yako mkuu.
Tulia aje na malimbikizo ya Kodi 😄
 
Utakuta alijenga na hakumshirikisha mtu na kama kafariki basi utakaa hapo mpaka mpaka wanao wakue
Sio uchawi bali kila kitu kinawezekana
Kaangalia Ardhi analipia
 
Wakuu kwema?

Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba.

Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa hapa Geita

Baada ya kumtafuta bila mafanikio nikaamua kukaa kimya.

Jana wazo likanijia nipige namba yake lakini sikumpata na mbaya zaidi inaonekana kashapewa mtu mwingne hiyo laini yake.

Wee mzee Shulanyuwi wa Singida kama utaona huu uzi unaweza nitafuta nikupe kodi yako mkuu.
Labda kafa!Ila hongera kwa kujali,Mungu humpa amatakaye na humnyima amataye.
 
Malizia hii,tafuta taulo,mswaki na ndala za kuogea over size alafu fuga kitambi flani hivi cha kubana taulo isianguke.

Kila asubuhi amka ukiwa umevaa taulo na ndala zako mswaki mdomoni.Basi watu watakuona kabisa wewe ndio faza house na hapo utakua unakibali rasmi cha kuokota nyumba.
 
Hahaha shida Sina kitambi
 
Uongo.

Hii stori mnairudia mno ila mnabadili wahusika tu.
 
Wakuu kwema?

Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba.

Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa hapa Geita

Baada ya kumtafuta bila mafanikio nikaamua kukaa kimya.

Jana wazo likanijia nipige namba yake lakini sikumpata na mbaya zaidi inaonekana kashapewa mtu mwingne hiyo laini yake.

Wee mzee Shulanyuwi wa Singida kama utaona huu uzi unaweza nitafuta nikupe kodi yako mkuu.
Jiandae kulipa au kupakwa mafuta
 
Back
Top Bottom