Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Ngoja atume kweli ππππnimimi apa kijana nimetafuta namba yako muda mrefu bila mafanikio
niliibiwa simu ndani ya basi nikiwa natoka geita kuja singida, tuma kodi ya kuanzia mwaka jana mpaka mwezi huu kwenye hii namba yangu mpya 0676321372.
tuma na yakutolea
Tulia aje na malimbikizo ya Kodi πWakuu kwema?
Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba.
Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa hapa Geita
Baada ya kumtafuta bila mafanikio nikaamua kukaa kimya.
Jana wazo likanijia nipige namba yake lakini sikumpata na mbaya zaidi inaonekana kashapewa mtu mwingne hiyo laini yake.
Wee mzee Shulanyuwi wa singida kama utaona huu uzi unaweza nitafuta nikupe kodi yako mkuu.
HahahahaNimegundua kupanga nyumba nzima ni dili,kuna siku unaweza okota nyumba
Labda kafa!Ila hongera kwa kujali,Mungu humpa amatakaye na humnyima amataye.Wakuu kwema?
Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba.
Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa hapa Geita
Baada ya kumtafuta bila mafanikio nikaamua kukaa kimya.
Jana wazo likanijia nipige namba yake lakini sikumpata na mbaya zaidi inaonekana kashapewa mtu mwingne hiyo laini yake.
Wee mzee Shulanyuwi wa Singida kama utaona huu uzi unaweza nitafuta nikupe kodi yako mkuu.
Kwann umesema Ivo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyumba sio Shumizi
Na wale polisi waliokota gari la yule wakili waliishia nalo wapiHongera mkuu kwa kuokota nyumba.
Haina hati mkuuUtakuta alijenga na hakumshirikisha mtu na kama kafariki basi utakaa hapo mpaka mpaka wanao wakue
Sio uchawi bali kila kitu kinawezekana
Kaangalia Ardhi analipia
Hahaha shida Sina kitambiMalizia hii,tafuta taulo,mswaki na ndala za kuogea over size alafu fuga kitambi flani hivi cha kubana taulo isianguke.
Kila asubuhi amka ukiwa umevaa taulo na ndala zako mswaki mdomoni.Basi watu watakuona kabisa wewe ndio faza house na hapo utakua unakibali rasmi cha kuokota nyumba.
Nameombea awe haiHongera Sana,usikute baba mwenye nyumba alikata kamba
Jiandae kulipa au kupakwa mafutaWakuu kwema?
Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba.
Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa hapa Geita
Baada ya kumtafuta bila mafanikio nikaamua kukaa kimya.
Jana wazo likanijia nipige namba yake lakini sikumpata na mbaya zaidi inaonekana kashapewa mtu mwingne hiyo laini yake.
Wee mzee Shulanyuwi wa Singida kama utaona huu uzi unaweza nitafuta nikupe kodi yako mkuu.
Sijuwi mkuuNa wale polisi waliokota gari la yule wakili waliishia nalo wapi
Sawa mkuuUongo.
Hii stori mnairudia mno ila mnabadili wahusika tu.
Kaongo.Sawa mkuu