Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
ID yako ya zamani ulikuwa unajiitaje?
Mmmmmhhh... haka kamwandiko kanaanza kunichezesha machale...Dawa ya homa una tabu wewe mi mgeni
Aisee Mkuu !!! Hahaha daahUmeanza vzuri , post+comment ni NNE tu lkn tayar una Trophy points 3 ..dooohhh nakumbuka mim nilifika mpaka post 127 ndo nikapewa Trophy point 2...
Damu yako nzuri mwaya ,imependwa na JF.
Karibu ,I am Mr right , and you are gorgeous ,namm usiniulize nmejuaje !!.
Karibu sana Hono Cute
asante best tatizo nyotaUmeanza vzuri , post+comment ni NNE tu lkn tayar una Trophy points 3 ..dooohhh nakumbuka mim nilifika mpaka post 127 ndo nikapewa Trophy point 2...
Damu yako nzuri mwaya ,imependwa na JF.
Karibu ,I am Mr right , and you are gorgeous ,namm usiniulize nmejuaje !!.
Karibu sana Hono Cute
Vipi Mkuuuu!! Hiii ndo raha ya JF,, wageni Wetu tunawakaribisha kwakila lililo jema kumoyo [emoji23] [emoji23]Aisee Mkuu !!! Hahaha daah
Huyu mwongo I.d mpya tuu huyuuVipi Mkuuuu!! Hiii ndo raha ya JF,, wageni Wetu tunawakaribisha kwakila lililo jema kumoyo [emoji23] [emoji23]
Ndio raha ya jf watu wale ID mpya kila sikuHahaha...kuishi kwingi
Hakika nabila shaka una nyota ya "Leo". Once again karibu sana JF,, Mie sitaki kujua umwenyeji au Lah au umekuja na ID mpya .asante best tatizo nyota
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sababu anapenda "Ugeni" wacha tumuishi kiugen geni !!.Huyu mwongo I.d mpya tuu huyuu
Nikwambie huyu ni nan !?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sababu anapenda "Ugeni" wacha tumuishi kiugen geni !!.
Ila tatizo amechangamka uyoooo balaaa[emoji23] [emoji23] ngoja tumkaribishe tu
Embu nambie Mkuu nishike sikio.Nikwambie huyu ni nan !?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji276]Embu nambie Mkuu nishike sikio.
Mkuuuu nishike sikio bana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji276]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kanisome vizuri mpenzi... sijasema kuwa ni wewe. Nimemshangaa tu kuwa na ugeni wake ameshakuwa mzoefu kukuzidi.Wee babu wewee,mnajuana wenyewe na mgeni wako mie wala siko huko. Ungejua nnavotamani kurudi kwa ID ya Kasinde...... ila ndo hivo imeshindikana. Isingekuwa kuvuruga nyula ya ID ya Kasinde wala nisingefungua hii ID ya Kasie.
Ukiona dalili zinazidi za kushindwa kufananisha maziwa na tui basi ujue hao ni fotocopy orijinale inabaki ile ile Kasie Matataaa.
Ni vile tuu niko chini na huzuni ila ningeshaweka jiwimbo kukuhakiki kuwa huyo sie umdhanie.
Haya ukaguzi mwema salamu kwa baba yeyoooo leiguanan Daby.
Kasie Mahaba.