Ndio kwanza nimefika

Ndio kwanza nimefika

Umeanza vzuri , post+comment ni NNE tu lkn tayar una Trophy points 3 ..dooohhh nakumbuka mim nilifika mpaka post 127 ndo nikapewa Trophy point 2...

Damu yako nzuri mwaya ,imependwa na JF.
793df43270102a89f01641d2bbd8fda2.jpg

Karibu ,I am Mr right , and you are gorgeous ,namm usiniulize nmejuaje !!.

Karibu sana Hono Cute
 
Aisee Mkuu !!! Hahaha daah
 
asante best tatizo nyota
 
asante best tatizo nyota
Hakika nabila shaka una nyota ya "Leo". Once again karibu sana JF,, Mie sitaki kujua umwenyeji au Lah au umekuja na ID mpya .

Nakukaribisha tu Mkuu !!. Maana dunia niile ile nawatu niwalewale.
 
Mgeni yuko sharp, Kasie anasubiri...

Kashajua na kugonga like na kuingia PM

Wee babu wewee,mnajuana wenyewe na mgeni wako mie wala siko huko. Ungejua nnavotamani kurudi kwa ID ya Kasinde...... ila ndo hivo imeshindikana. Isingekuwa kuvuruga nyula ya ID ya Kasinde wala nisingefungua hii ID ya Kasie.

Ukiona dalili zinazidi za kushindwa kufananisha maziwa na tui basi ujue hao ni fotocopy orijinale inabaki ile ile Kasie Matataaa.

Ni vile tuu niko chini na huzuni ila ningeshaweka jiwimbo kukuhakiki kuwa huyo sie umdhanie.

Haya ukaguzi mwema salamu kwa baba yeyoooo leiguanan Daby.

Kasie Mahaba.
 
Kanisome vizuri mpenzi... sijasema kuwa ni wewe. Nimemshangaa tu kuwa na ugeni wake ameshakuwa mzoefu kukuzidi.

Hivi mimi na wewe tumeshatakiana heri ya mwaka mpya, in kind?
 
Back
Top Bottom