Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo yanga ameshakuwa bingwa??
Shule zinawasaidia nini? Maadam umeona jina la Mo tu kwenye huo upuuzi tayari umeshaamini. Vijana jifunzeni kuwa analytical kabla ya kuzoa vitu na kuvileta hapa jukwaani.
Wewe umejuajd kama sio moShule zinawasaidia nini? Maadam umeona jina la Mo tu kwenye huo upuuzi tayari umeshaamini. Vijana jifunzeni kuwa analytical kabla ya kuzoa vitu na kuvileta hapa jukwaani.