Shule zinawasaidia nini? Maadam umeona jina la Mo tu kwenye huo upuuzi tayari umeshaamini. Vijana jifunzeni kuwa analytical kabla ya kuzoa vitu na kuvileta hapa jukwaani.