Ndio maana tunajiuliza kwa uwezo gani iliokuwa nao Yanga hadi sisi Simba tufungwe mabao 5

Sasa kwa offside ya mchongo namna hii unatokaje chini kimsimamo wewe Kolokhamsa?View attachment 2836936
IMG_4282.jpeg

Mkuu, hii picha imeniuma mpaka nimeenda kuichorea mstari nihakikishe!
Mungu atalipia hii dhulma, goli halali kabisa hilo!
 
Yaani kwa jinsi uwezo wa hii timu ulivo wa kiwango cha kawaida, tunashindwa kuamini kama kweli yale mabao 5 yalikuwa ni uwezo wa timu yao, ushahidi ni hizi mechi za ligi ya mabingwa ambazo zinaonyesha kabisa kuwa hii timu hata Mashujaa ina uwezo mzuri kuliko wao.

Hawana uwezo wowote Yanga, kinachowasaidia ni hiyo kutoa misaada kwa yatima basi lakini uwezo wa kusakata soka ni wa kiwango cha kawaida sana, hao akina Max mzengeli ambao hapa kwetu ligi ya NBC wanatambaa dimbani utadhan akina Ronaldinho au Jay Jay Okocha wa enzi hizo, huko ughaibuni hawana weupe kabisa yaani.

Wameua nyota za wachezaji wa Simba ili wazichukue wao, walienda hadi mlima kilimanjaro kushusha kibegi chetu na wakaweka chao, hili Simba liangalieni sana, kule mlima kilimanjaro mlipopeleka kibegi kama kudumisha mambo ya jadi injinja alienda kule akafika hadi kileleni, kile kibegi na mambo yefu tuliyoyaweka kule kileleni wameyashusha yote halafu wamepandisha bendera na mambo yao.

Simba inao wachezaji wazuri kuliko hao wa utopolo, wachezaji wao ndio hao hao Pacome, Aziz, Max, Yao basi, hamna kitu.

Yaani mpira huu ndio mlitufunga mabao 5 nyie, mpira huu ndio mtupige mabao 5, aisee wale wote mlioshiriki kuhakikisha tunafungwa mabao 5 na hawa Utopolo mbarikiwe sana.

Msimlaumu Gamondi, uwezo wa timu yenu ni ule ule wa uchale tu, mnafunga watu mabao 5 halafu mnaenda kutia aibu ugenini kwa vitimu vya kawaida tu.
Isaidieni hii mbumbumbu inaelekea kuchanganyikiwa.
 
Mnara unakutesa na kuwatesa sanaaas
 
Hao ni wanga....mbona kila kitu kilikua wazi? Walipitia mlango usitakiwa...walimwaga mimaji uwanjani...
 
mlizabwa 5,Kaa Kwa kutulia.
 
Mkuu Isijekuwa yangaa wanatumia dawa za Kusisimua misuli??
You never know[emoji2369]
 
Salamu zako toka Marrakech!
 
Back
Top Bottom