Ndio maana tunajiuliza kwa uwezo gani iliokuwa nao Yanga hadi sisi Simba tufungwe mabao 5

Isaidieni hii mbumbumbu inaelekea kuchanganyikiwa.
 
Mnara unakutesa na kuwatesa sanaaas
 
Hao ni wanga....mbona kila kitu kilikua wazi? Walipitia mlango usitakiwa...walimwaga mimaji uwanjani...
 
mlizabwa 5,Kaa Kwa kutulia.
 

Mkuu Isijekuwa yangaa wanatumia dawa za Kusisimua misuli??
You never know[emoji2369]
 
Salamu zako toka Marrakech!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…