Santo sana kwa mwongozo!
Roho mbaya hiyo. Ulitaka akate miguu kabla ya kuingia ndani ya gari? 😂Unatoa lift kiroho safi ila mtu/watu wakishuka inabidi upitie car wash. Michanga hadi kwenye viti. Hali ni mbaya zaidi mvua ikinyesha. Uzi tayari
View attachment 3575852
View attachment 3575853View attachment 3575854
Kinachouma zaidi ni pale uliyempa lift ni chawa wa mama muda wote kumsifia
FactUnatoa lift kiroho safi ila mtu/watu wakishuka inabidi upitie car wash. Michanga hadi kwenye viti. Hali ni mbaya zaidi mvua ikinyesha. Uzi tayari
View attachment 3575852
View attachment 3575853View attachment 3575854
Hapo inabidi usiwashe ACUnatoa lift kiroho safi ila mtu/watu wakishuka inabidi upitie car wash. Michanga hadi kwenye viti. Hali ni mbaya zaidi mvua ikinyesha. Uzi tayari
View attachment 3575852
View attachment 3575853View attachment 3575854